Historia ya chamaTAZAMA Saccos Ltd

Senti moja iliyookolewa ni sawa na senti moja iliyopatikana - Benjamin Franklin
watendaji-kazini-tazama-saccos
ofisini-tazama-saccos
eng-sospeter-tazama-saccos
mtendaji-2-tazama-saccos
wafanyakazi-mkutanoni-tazama-saccos

Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo TAZAMA (TAZAMA SACCOS Ltd) kilianzishwa rasmi Tarehe 14/04/ 1976 na kusajiriwa chini ya sheria ya Ushirika ya Mwaka 1968 na kupewa hati ya Na. DSR. 88. Na sasa Hati Na PRI-DAR-KGM-MC-2022-464.

Ukiwa Ushirika wenye dhima ya kikomo (DYK), Wanachama wake walitokana na Utumishi ulio chini ya Kampuni ya usafirishaji mafuta (TANZANIA ZAMBIA MAFUTA).

Kijiografia ushirika huu unafanya kazi kanda ya Tanzania Bara kwa kuwa na wanachama kwenye vituo vyote vya TAZAMA PIPELINES Ltd ambavyo ni Dar es Salaam, Morogoro,

Elphones’ Pass, Iringa na Mbeya; na Dar es Salaam ndiyo makao makuu ya chama.

Lengo kuu la kuanzishwa kwake lililenga kuunganisha nguvu za kiuchumi za baadhi ya waajiriwa mmoja mmoja, wanachama kuunda Mtaji wa pamoja kwa njia ya kujiwekea Akiba mara kwa mara ili kujipatia huduma za kifedha na zisizo za kifedha kuwawezesha kuondoa kero zao zitokanazo na umasikini wa kipato.

Mwaka 1976 Ushirika ulianza na wanachama 25, na ilipofika 1983 walikuwa 50 na baadaye kuongezeka kila mwaka na kufikia mwaka 2024 wanachama hai wapo 271.

01234567890012345678900123456789001234567890

Kuanzishwa

Ushirika huu ulianza ukiwa na wanachama 25.

012345678900123456789001234567890

Wanachama Hai

Idadi ya Wanachama Hai tulionao mpaka 2024.

01234567890

Waajiriwa

Ushirika unaendeshwa na wafanyakazi wa kudumu.

0123456789001234567890%

Mikopo Iliyorudi

Timu yetu ni madhubuti kutoa na kukusanya mikopo.

Dira na Dhima Yetu

Mitazamo ya kichama katika kufikia malengo ya Wanachama wake hai na kukuza mitaji.
https://tazamasaccos.co.tz/wp-content/uploads/2024/12/dira-tazama-saccos.webp

DIRA

Kukidhi na kuzidi matarajio ya wanachama na kuwa mojawapo ya SACCOS zilizofanikiwa na zinazoendeshwa vyema nchini Tanzania.

https://tazamasaccos.co.tz/wp-content/uploads/2024/12/dhima-tazama-saccos.jpg

DHIMA

Kuhamasisha akiba, kutoa mikopo ya riba nafuu kwa wanachama wetu kwa ajili ya maendeleo, na kuhakikisha marejesho ya hiari kupitia bidhaa zinazokidhi mahitaji ya wanachama wetu.

Watendaji Wetu

Watendaji wa chama chetu cha Ushirika.
https://tazamasaccos.co.tz/wp-content/uploads/2024/12/sospeter-tazama-saccos.jpg

Eng. Sospeter Wangele Mataba

Mwenyekiti Bodi ya Uogozi

Kiongozi mkuu wa ushirika, TAZAMA.

Utendaji wa chama kila siku.

Utendaji wa chama kila siku.

https://tazamasaccos.co.tz/wp-content/uploads/2024/12/juliana-tazama-saccos.jpg

Juliana Pandisha

Mkaguzi wa Ndani

Kiongozi mkuu wa ushirika, TAZAMA.

https://tazamasaccos.co.tz/wp-content/uploads/2024/12/martha-tazama-saccos.jpg

Martha Mtokambali

Afisa Mikopo

Utendaji wa chama kila siku.

Tumejipanga Kukuhudumia, karibu.

Wafanyakazi wetu wana weledi na uzoefu wa kutosha katika kutoa huduma za kifedha , itakayokuacha umeridhika muda wote.

Wasiliana Nasi

Jaza fomu hii ili kutufikia kwa urahisi nasi tutakujibu ndani ya muda mfupi