Mkopo huu utatolewa Kwa kulingana na Akiba za mwanachama na utakopeshwa kwa madhumuni ya kufanikisha shughuli za kimaendeleo.
Mkopo huu unalenga kuimarisha hali ya kifedha ya wanufaika kwa kuwawezesha kutekeleza miradi kama:
Sifa za Mkopo wa Maendeleo:
Mkopo huu unahamasisha ukuaji wa kiuchumi na ustawi wa wanachama wa ushirika.
Mwanachama ataweza kukopa mara tatu ya akiba alizonazo chamani.
Kiasi cha juu cha mkopo huu, inategemea na uwezo wa kurejesha wa mwanachama
Muda wa juu wa marejesho wa mkopo huu ni Miezi 60, au miaka 5
Riba ya mkopo huu ni asilimia kumi na tano, Reducing Loan balance.
Tembelea ofisi zetu au tuandikie barua pepe wakati wowote unapotaka. Ikiwa una maswali yoyote, usisite kuwasiliana nasi.