Mkopo wa Bima

Mkopo wa Bima ni aina ya mkopo unaotolewa kwa wanachama ili kuwasaidia kulipia gharama za bima.

Mkopo huu utatolewa kwa Mwanachama yeyote anayetaka kulipia BIMA ya Gari yake Na Chama kitalipia gharama za Bima kwenye Bima husika.

  • Kulipia bima ya mali: Hapa mwananchama tapata mkopo kwenye Bima ya gari kwa sasa.

Tunafikiria kuongeza huduma za Bima zaid hapo karibu baadaye kama Bima kwenye Nyumba, Afya, Biashara na Kilimo.

Sifa za Mkopo wa Bima:

  • Malipo ya moja kwa moja: Mkopo hulipwa moja kwa moja kwa kampuni ya bima kwa niaba ya mwanachama.
  • Kiwango cha riba nafuu: Ili kuwezesha wanachama kulipa bila mzigo mkubwa.
  • Muda wa marejesho wa kiurahisi: Marejesho yanaweza kufanyika kwa awamu ndogo kulingana na uwezo wa kifedha wa mwanachama.
  • Ulinzi wa haraka: Inasaidia kuhakikisha mwanachama analindwa mara moja bila kucheleweshwa na changamoto za kifedha.

Mkopo wa Bima ni njia bora ya kuhakikisha usalama wa kifedha na kimaisha kwa wanachama wetu, huku ukitoa msaada wa haraka na rahisi

mtendaji-2-tazama-saccos
mtendaji-tazama-saccos
wafanyakazi-2-tazama-saccos
0123456789001234567890k+

Uwezo kukopa

Mkopo huu hutolewa bila kuzingatia Akiba za mkopaji.

012345678900123456789001234567890K+

Kiwango Cha Juu

Kiwango cha mkopo kinategemea thamani ya chombo husika.

01234567890

Miezi

Muda wa juu wa marejesho wa mkopo huu ni Miezi 4, au robo mwaka.

01234567890%

Riba

Riba ya mkopo huu ni asilimia sita kwa mwezi.

Vigezo vya mkopo


 Kiwango cha mkopo hutegemea na thamani ya chomo na gharama ya bima
 Muda wa juu wa Marejesho ya Mkopo huu ni Miezi 3 (Mitatu)
 Riba ya Mkopo huu ni Asilimia 6% (Asilimia Sita) kwa Mwezi.
 Mkopo huu hutolewa bila kuzingatia Akiba za mkopaji
https://tazamasaccos.co.tz/wp-content/uploads/2024/12/insurance-loan-tazama-saccos-1280x640.jpg

Envisioned multimedia based expertise and cross media growth strategies quality intellectual capital without collaboration.

Peter Jackson
Building construction project

Credibly reintermediate backend ideas for cross-platform models, continually reintermediate integrated processes.

Doris Richards
Home construction

Objectively integrate emerging core competencies before process-centric communities rather than client-centric data.

Peter Jackson
Building construction project

Fabricate an expanded array of niche markets through robust products. Appropriately implement visionary e-services readiness.

Brielle Hillam
Business building project

Enthusiastically engage fully tested process improvements before top-line platforms after client-centric infomediaries.

Evonne Walter
Home block construction

Tulipo Tazama Saccos

Tembelea ofisi zetu au tuandikie barua pepe wakati wowote unapotaka. Ikiwa una maswali yoyote, usisite kuwasiliana nasi.

Anuani
Tungi, Kigamboni, Dsm-Tanzania
Barua Pepe
contact@tazamasaccos.co.tz
Tupigie
+255 765509557 / +255785359552