Mkopo wa elimu ni aina ya mkopo unaotolewa kwa wanachama ili kugharamia masuala yanayohusiana na elimu. Mkopo huu unasaidia kupunguza mzigo wa kifedha unaohusiana na ada na gharama nyingine za kielimu, kuhakikisha maendeleo ya kitaaluma kwa wanufaika.
Matumizi ya mkopo wa Elimu ni kama:
Sifa za Mkopo wa Elimu:
Mkopo wa elimu ni uwekezaji katika maisha ya mwanachama na familia yake, ukilenga kuleta ustawi wa muda mrefu kupitia maarifa na ujuzi bora.
Mkopo huu hutolewa bila kuzingatia Akiba za mkopaji
Kiasi cha juu cha mkopo huu, inategemea na uwezo wa kurejesha wa mwanachama
Muda wa juu wa marejesho wa mkopo huu ni Miezi 18, au mwaka mmoja na nusu
Riba ya mkopo huu ni asilimia kumi na tatu, Reducing Loan balance.
Tembelea ofisi zetu au tuandikie barua pepe wakati wowote unapotaka. Ikiwa una maswali yoyote, usisite kuwasiliana nasi.