Mkopo mdogo ni aina ya mkopo wa kiasi kidogo wa fedha unaotolewa kwa wanachama ili kuwasaidia kushughulikia mahitaji ya haraka au miradi midogo ya kifedha. Mkopo huu hufaa kwa watu wanaohitaji fedha za haraka kwa matumizi ya kawaida au uwekezaji wa kiwango kidogo.
Matumizi ya mkopo mdogo:
Sifa za Mkopo Mdogo:
Mkopo mdogo unalenga kutoa suluhisho la haraka kwa changamoto ndogo za kifedha na kusaidia wanachama kudumisha uthabiti wao wa kiuchumi.
Mkopo huu hutolewa bila kuzingatia Akiba za mkopaji
Kiasi cha juu cha mkopo huu, inategemea na uwezo wa kurejesha wa mwanachama
Muda wa juu wa marejesho wa mkopo huu ni Miezi 4, au robo mwaka.
Riba ya mkopo huu ni asilimia tano, Kila Mwezi.
Tembelea ofisi zetu au tuandikie barua pepe wakati wowote unapotaka. Ikiwa una maswali yoyote, usisite kuwasiliana nasi.