Mkopo Binafsi

Mkopo huu utatolewa kwa Wanachama madhumuni ya kufanikisha shughuli binafsi au maalum za Mwanachama hususani kuanzisha au kuendeleza biashara.

Mkopo binafsi ni aina ya mkopo unaotolewa kwa mtu mmoja kwa madhumuni ya kibinafsi kama vile:

  • Kulipia gharama za dharura: Mfano, matibabu au ada za shule.
  • Kununua bidhaa za matumizi: Vitu kama samani, vifaa vya umeme, n.k.
  • Kuboreshwa kwa maisha: Kama ukarabati wa nyumba au likizo.

Sifa za Mkopo Binafsi:

  • Kiasi cha mkopo: Kulingana na uwezo wa kifedha wa mwombaji na dhamana yake.
  • Muda wa marejesho: Unaweza kuwa wa muda mfupi au wa kati, kulingana na makubaliano.
  • Riba: Kiwango cha riba huchaguliwa ili kufanikisha urejeshaji rahisi.
  • Hakuna vikwazo vya matumizi: Mkopo huu hauhitaji matumizi maalum; mwombaji anaweza kutumia anavyopenda.

Mkopo binafsi hutoa suluhisho rahisi na la haraka kwa mahitaji yako ya kifedha.

wafanyakazi-mkutanoni-tazama-saccos
watendaji-kazini-tazama-saccos
mtendaji-tazama-saccos
01234567890

Uwezo kukopa

Kiasi cha mkopo hutegemea zaidi na ukubwa wa biashara au mradi, na mtiririko wa mapato katika biashara hiyo.

0123456789001234567890M

Kiwango Cha Juu

Kiasi cha juu cha mkopo huu, inategemea na uwezo wa kurejesha wa mwanachama

0123456789001234567890

Miezi

Muda wa juu wa marejesho wa mkopo huu ni Miezi 36, au miaka 3

0123456789001234567890%

Riba

Riba ya mkopo huu ni asilimia kumi na tano, Reducing Loan balance.

Vigezo vya mkopo

 Kiasi cha juu cha mkopo kitakuwa TZS 50,000,000/= (Milioni Hamsini) kutegemea uwezo wa Mwanachama kurejesha.
 Marejesho ya Mkopo huu yatatoka katika Chanzo/vyanzo vingine tofauti na mshahara wa Mkopaji.
 Muda wa juu wa marejesho ni Miezi 36.
 Riba ya Mkopo huu ni asilimia 15% Reducing Loan Balance
 mkopo huu utadhaminiwa na mali isiyo hamishika kama nyumba ya makazi, kiwanja, mashine/mitambo au jengo la biashara
https://tazamasaccos.co.tz/wp-content/uploads/2024/12/personal-loan-tazama-saccos-1280x640.jpg

Envisioned multimedia based expertise and cross media growth strategies quality intellectual capital without collaboration.

https://tazamasaccos.co.tz/wp-content/uploads/2020/09/client-4.jpg
Peter Jackson
Building construction project

Credibly reintermediate backend ideas for cross-platform models, continually reintermediate integrated processes.

https://tazamasaccos.co.tz/wp-content/uploads/2020/09/client-3.jpg
Doris Richards
Home construction

Objectively integrate emerging core competencies before process-centric communities rather than client-centric data.

https://tazamasaccos.co.tz/wp-content/uploads/2020/09/client-1.jpg
Peter Jackson
Building construction project

Fabricate an expanded array of niche markets through robust products. Appropriately implement visionary e-services readiness.

https://tazamasaccos.co.tz/wp-content/uploads/2020/09/client-6.jpg
Brielle Hillam
Business building project

Enthusiastically engage fully tested process improvements before top-line platforms after client-centric infomediaries.

https://tazamasaccos.co.tz/wp-content/uploads/2020/09/client-2.jpg
Evonne Walter
Home block construction
https://tazamasaccos.co.tz/wp-content/uploads/2020/07/post_13.jpg

Tulipo Tazama Saccos

Tembelea ofisi zetu au tuandikie barua pepe wakati wowote unapotaka. Ikiwa una maswali yoyote, usisite kuwasiliana nasi.

Anuani
Tungi, Kigamboni, Dsm-Tanzania
Barua Pepe
contact@tazamasaccos.co.tz
Tupigie
+255 765509557 / +255785359552