Mkopo wa Bidhaa

Mkopo huu utatolewa kwa Mwanachama kwa lengo la kununua bidhaa na Chama kitalipia bidhaa kwa niaba ya Mwanachama, halafu Mwanachama atafanya marejesho ya kiasi kilicholipiwa bidhaa pamoja na riba yake. Bidhaa hizo ni Kama Samani, Vifaa vya kieletroniki (TV, Radio, Simu) Gari, Kiwanja, Nyumba, Shamba etc. Na ni wajibu wa

Matumizi ya Mkopo wa Bidhaa:

  • Ununuzi wa vifaa vya nyumbani: Kama samani, vifaa vya umeme, au vifaa vya jikoni.
  • Ununuzi wa vifaa vya kilimo: Kama mbegu, mbolea, au vifaa vya kazi.
    Bidhaa za biashara: Kama malighafi au bidhaa za kuuza.
  • Mahitaji mengine: Kama ununuzi wa vifaa vya shule au huduma za lazima.
  • Bidhaa za biashara: Kama malighafi au bidhaa za kuuza.

Sifa za Mkopo wa Bidhaa:

  • Malipo ya awamu: Mwanachama anaweza kulipa mkopo kwa awamu badala ya mara moja./li>
  • Riba nafuu: Ili kupunguza mzigo wa kifedha kwa wanufaika.
  • Utoaji wa haraka: Bidhaa hupatikana mara moja baada ya kuidhinishwa kwa mkopo.
  • Masharti rahisi: Mkopo huu hutolewa kwa urahisi kulingana na mahitaji na uwezo wa kifedha wa mwanachama.

Mkopo wa bidhaa husaidia wanachama kuboresha maisha yao au shughuli zao za kiuchumi kwa kupata bidhaa muhimu kwa wakati unaofaa.

mtendaji-2-tazama-saccos
eng-sospeter-tazama-saccos
wafanyakazi-2-tazama-saccos
01234567890

Uwezo kukopa

Mwanachama ataweza kukopa mara mbili ya hisa alizonazo chamani.

0123456789001234567890M

Kiwango Cha Juu

Kiasi cha juu cha mkopo huu, inategemea na uwezo wa kurejesha wa mwanachama

0123456789001234567890

Miezi

Muda wa juu wa marejesho wa mkopo huu ni Miezi 36, au miaka 3.

0123456789001234567890%

Riba

Riba ya mkopo huu ni asilimia kumi na tano, Reducing Loan balance.

Vigezo vya mkopo


 Kiwango cha Mkopo huu ni kuanzia Tshs Laki Tano Tshs. 500,000/= hadi Tshs Milioni Thelathini Tshs. 30,000,000/=
 Muda wa juu wa marejesho ya mkopo huu ni Miezi 36 (Miaka 3)
 Riba ya Mkopo huu ni Asilimia 15%. Reducing Loan Balance.
 Mwanachama atakopeshwa hadi mara mbili ya Akiba zake.
https://tazamasaccos.co.tz/wp-content/uploads/2024/12/commodity-loan-tazama-saccos-1280x640.jpg

Envisioned multimedia based expertise and cross media growth strategies quality intellectual capital without collaboration.

https://tazamasaccos.co.tz/wp-content/uploads/2020/09/client-4.jpg
Peter Jackson
Building construction project

Credibly reintermediate backend ideas for cross-platform models, continually reintermediate integrated processes.

https://tazamasaccos.co.tz/wp-content/uploads/2020/09/client-3.jpg
Doris Richards
Home construction

Objectively integrate emerging core competencies before process-centric communities rather than client-centric data.

https://tazamasaccos.co.tz/wp-content/uploads/2020/09/client-1.jpg
Peter Jackson
Building construction project

Fabricate an expanded array of niche markets through robust products. Appropriately implement visionary e-services readiness.

https://tazamasaccos.co.tz/wp-content/uploads/2020/09/client-6.jpg
Brielle Hillam
Business building project

Enthusiastically engage fully tested process improvements before top-line platforms after client-centric infomediaries.

https://tazamasaccos.co.tz/wp-content/uploads/2020/09/client-2.jpg
Evonne Walter
Home block construction
https://tazamasaccos.co.tz/wp-content/uploads/2020/07/post_13.jpg

Tulipo Tazama Saccos

Tembelea ofisi zetu au tuandikie barua pepe wakati wowote unapotaka. Ikiwa una maswali yoyote, usisite kuwasiliana nasi.

Anuani
Tungi, Kigamboni, Dsm-Tanzania
Barua Pepe
contact@tazamasaccos.co.tz
Tupigie
+255 765509557 / +255785359552