Mkopo wa dharura ni aina ya mkopo unaotolewa kwa haraka ili kusaidia wanachama kukabiliana na matatizo ya kifedha yasiyotarajiwa. Lengo kuu la mkopo huu ni kuhakikisha kuwa mwanachama anapata msaada wa kifedha kwa wakati unaofaa.
Matumizi ya mkopo wa dharura ni kama:
Sifa za Mkopo wa Dharura:
Mkopo wa dharura ni msaada wa haraka kwa wanachama wetu, unaosaidia kudhibiti changamoto zisizotarajiwa kwa njia rahisi na ya kuaminika.
Mkopo huu hutolewa bila kuzingatia Akiba za mkopaji.
Kiasi cha juu cha mkopo huu, inategemea na uwezo wa kurejesha wa mwanachama
Muda wa juu wa marejesho wa mkopo huu ni Miezi 6, au nusu mwaka.
Riba ya mkopo huu ni asilimia nne kwa kila mwezi.
Tembelea ofisi zetu au tuandikie barua pepe wakati wowote unapotaka. Ikiwa una maswali yoyote, usisite kuwasiliana nasi.