Fursa huja mara chache. Inaponyesha dhahabu, toa ndoo, si sindano. – Warren Buffett
Fursa huja mara chache. Inaponyesha dhahabu, toa ndoo, si sindano. – Warren Buffett
Ushirika huu ulianza ukiwa na wanachama 25.
Idadi ya Wanachama Hai tulionao mpaka 2024.
Ushirika unaendeshwa na wafanyakazi wa kudumu.
Timu yetu ni madhubuti kutoa na kukusanya mikopo.
Mwombaji ni lazima awe mwajiriwa na Tazama pipeline ltd, atajaza fomu za uanachama zinazopatikana ofisini au kwenye tovuti ya chama, pia atatakiwa kununua hisa zenye thamani ya Tsh 1,000,000 na kulipa ada ya uana chama Tsh 100,000 na kiwasilisha nakala za malipo ofisi za chama.
1. Mikopo kwa wanachama
2. Akaunti za akiba na amana
3. Wakala wa huduma za mitandao ya simu
4. Bima za vyombo vya moto
5. Tazama mobile app
1. Mikopo kwa wanachama
2. Akaunti za akiba na amana
3. Wakala wa huduma za mitandao ya simu
4. Bima za vyombo vya moto
5. Tazama mobile app
Akaunti za akiba zinatoa fursa kwa wanachama kuhifadhi akiba kwa utaratibu wa mara kwa mara. Chama chetu kinatoa akaunti za akiba za muda wa kati na muda mrefu kwa wanachama wake.
Tunatoa Huduma bora za uwakala wa Bima(Hii ni pamoja na Afya, Vyombo vya moto, Nyumba na bima ya maisha) kwa wanachama wetu, pia tunafanya uwakala wa kibenki na mitandao yote ya simu.
TAZAMA Saccos hutoa bidhaa mbalimbali za mikopo kwa viwango vya riba nafuu. Tumetengeneza na tunaendelea kukagua bidhaa za mkopo zinazofaa wanachama wetu.
TAZAMA Saccos Limited ina aina mbalimbali za Amana zinazowafaa wanachama wetu.